Kweli wanga wabaya HV ni huyu lavalava alieimba hz nyimbo au mwingine ....?👇👇
Nitake nn
Kilio
Teja
Saula
Tukaze roho
Tuache chuki Kama in lavalava huyu unamkosea sana, analist kubwa sana ya nyimbo nzuri na za kueleweka hata nyumbani kwa mchungaji zinasikilizika pasina wasiwasi wowote.
Huyo masauti ana hit songs hazizidi tano lavalava anazaidi ya 20 naomba aheshimike😢😢😥😥
Nje ya Jamii forum Lavalava anajua sana
Mpeni sikio mtamuelewa