Historia ya Siasa Nchini Kenya
Abdilatif Abdalla anaeleze historia ya siasa nchini Kenya kuanzia chama cha KANU(Kenya African National Union) baada ya kupata uhuru na baadaye wanachama wa KANU kina Jaramogi Odinga na wenzie kujitoa katika chama na kuanzisha chama kingine cha KPU (Kenya People's Union). Maoni yake ni kuwa Mkoloni ameondoka ''jina tu'' na nafasi yake yupo mkoloni mweusi anayetumikia wakoloni ''walioondoka'' wakati wa kupata uhuru.
Abdilatif Abdalla ni mbobezi African Politics ana historia yake ndefu kama Mwanaharakati wa chini kwa chini akiwa kijana, kufungwa gerezani kutokana na harakati za kupinga siasa za KANU, mtaalam taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili University of Dar-es-Salaam, Mwanahabari BBC Swahili, Mhariri jarida la Africa Events Uingereza, mhadhiri University of London, mtunzi wa kitabu mashahiri POET IN POLITICS na Mhadhiri University of Leipzig Germany.
Source: Bilal Kenya