Kenya:Uchaguzi mdogo Kati ya Zilipendwa na Seduce me

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
4262d4c4b7e50fc463a3c139f5ab4338.jpg

Uchaguzi mdogo uko Kenya ulifanyika kati ya nyimbo mbili zinazobamba hapa bongo za vigogo wa muziki.
Asilimia tatu(3) kama uonavyo matokeo jinsi ulivyokawa,wanasema hawafungamani na pande zozote.
Toa maoni yako ni kweli inaweza ikawa hivyo.
[HASHTAG]#Y254channel[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG].
 
Hujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.

74% + 17% + 9% =100%

Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe "WAKALA" teh teh teh
 
Thumbs up Dude...
 
4262d4c4b7e50fc463a3c139f5ab4338.jpg

Uchaguzi mdogo uko Kenya ulifanyika kati ya nyimbo mbili zinazobamba hapa bongo za vigogo wa muziki.
Asilimia tatu(3) kama uonavyo matokeo jinsi ulivyokawa,wanasema hawafungamani na pande zozote.
Toa maoni yako ni kweli inaweza ikawa hivyo.
[HASHTAG]#Y254channel[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG].
Pumba kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madale mnatapatapa tu.
Mlisema hatoi nyimbo anashinda mitandaoni.

Sasa katoa wimbo mnatafutana tu kwa aibu
 
Hujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.

74% + 17% + 9% =100%

Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Principle gani ya hesabu hii

Acha kufoji jibu

Maana umerudi palepale atleast ungeondoa hicho kipengele cha zote, huwezi fanya simplification halafu jibu likarudi kwa mfumo ule ule, tena more complicated

Hivi hyo tallying system ni ipi ambayo haileti sum ya 100 mpk ufanye manuva ya chekechea

Nyio ndio mnaofanya hesabu ionekane ngumu

Mbn kipima joto cha itv hakina ulimbwende km huu

Poor you na hesabu zako za kubahatisha
 
Hujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.

74% + 17% + 9% =100%

Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu 21-3=18
 
Domo naona anakodi hadi wala ngada wampe promo.
Atoe tu wimbo mzuri utajipa promo wenyewe.
 
Hujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.

74% + 17% + 9% =100%

Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hizi hesabu za wapi mbona kamba hii

Ok tutumie principle zako

77-3=74
21-3=18
9

Sum= 74+18+9
=101℅

lete jingine sio hili kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom