Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
ze mathe z kamingi na jahazi fromu muzungu!..😀21% + 77% +3% = 101%
wrong data collection and analysis.....
poor education
Kweli wewe "WAKALA" teh teh tehHujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.
74% + 17% + 9% =100%
Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thumbs up Dude...Hujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.
74% + 17% + 9% =100%
Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba kabisa
Uchaguzi mdogo uko Kenya ulifanyika kati ya nyimbo mbili zinazobamba hapa bongo za vigogo wa muziki.
Asilimia tatu(3) kama uonavyo matokeo jinsi ulivyokawa,wanasema hawafungamani na pande zozote.
Toa maoni yako ni kweli inaweza ikawa hivyo.
[HASHTAG]#Y254channel[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG].
Hujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.
74% + 17% + 9% =100%
Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.
74% + 17% + 9% =100%
Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila we fake sio orijinoKazi kweli kweli..naomba nisiwe upande wowote

sawaila we fake sio orijino
Sio sawa.sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakiwa waongo wasiwe wasahaulifu21% + 77% +3% = 101%
wrong data collection and analysis.....
poor education
Aisee hizi hesabu za wapi mbona kamba hiiHujasoma hesabu nini?