TanzaniaLaw JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 1,298 Reaction score 482 Sep 25, 2014 #101 Mgagaa na Upwa said: Mtaangaika sana lkn hamtupati,jiungeni hata kwenye kushare wake zenu,sio kila mkifanyacho basi na TZ ishiriki,tumeshtuka Click to expand... Low self esteem
Mgagaa na Upwa said: Mtaangaika sana lkn hamtupati,jiungeni hata kwenye kushare wake zenu,sio kila mkifanyacho basi na TZ ishiriki,tumeshtuka Click to expand... Low self esteem
ndughuri msuya JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 1,974 Reaction score 2,920 Sep 26, 2014 #102 Wtz hatupelekwi kama gari bovu ,kesho tukaumize wananchi wetu,big up tz, twasema mtazania daima,tuwaache wakimbie wapo watakaolia baadaye,mbona kelele za utalii zimepungua na matokeo ya ufanisi hatuyasiki kwa bwebwe walizoanza nazo
Wtz hatupelekwi kama gari bovu ,kesho tukaumize wananchi wetu,big up tz, twasema mtazania daima,tuwaache wakimbie wapo watakaolia baadaye,mbona kelele za utalii zimepungua na matokeo ya ufanisi hatuyasiki kwa bwebwe walizoanza nazo