Kenya, UK elevate relationship to ‘strategic partnership’

Kenya, UK elevate relationship to ‘strategic partnership’

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
6,752
Reaction score
4,966
Boris Johnson and Uhuru Kenyatta

UK Prime Minister Boris Johnson (left) greets President Uhuru Kenyatta outside 10 Downing Street on January 21, 2020. Kenya may have signed trade deals worth Sh227 billion at the recent UK-Africa Investment Summit but officials say the ultimate goal was to cement guarantees that could provide Kenyan businesses at least a five-year assured market. PHOTO | TOLGA AKMEN | AFP
 
Raisi wa Kenya amefanya juhudi kuhakikisha bidha za kenya , zinapata soko la uhakika. Juhudi zake zitawasaidia hata baadhi ya watanzania, na pia itatuletea hasara K.M.

1. Mikoa ya Arusha na Moshi: Mazao yao ya Horticulture kama Avocado na Maua yatapata bei, Tanzanite na madini mengi madogo yatavushwa kwa wingi. Uwanja wetu wa ndege wa KIA utapata upungufu wa mizigo.
2. Mikoa ya MARA, BUKOBA na MWANZA madini mengi yatazidi kupata bei Nairobi.

Hii ni mifano midogo tuu, Hii mikutano ya kitaifa ni muhimu sana, Wengi wetu tulijua BREXIT italeta manufaa kwa nchi za Common Wealth, kwani UK itahitaji soko la Bidha zao, na pia wabia wa kibiashara, Tutaona Investements Nyingi sana, Kwani UK ina Ushawshi mkubwa sana kwenye FINANCIAL WORLD.
 
Narrow n short sighted thinking!
 
Kiukweli hii tabia ya kutosafiri nje na kuhudhuria mikutano ya kimataifa inatukosesha neema nyingi. Juzijuzi katika UK-Africa summit hakuna tulichoambulia ili hali majirani zetu wote wamerudi na furaha tu.
Kwa sasa kuna maonyesho makubwa ya kimatafa kule USA - New york hakuna ujumbe wa kitaifa wa kutangaza utalii wetu. Sisi tupo hapa na viongozi wetu wanapiga porojo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uingereza hana hela, anatafuta kupiga hela kutoka Afrika, ni kama Ureno anavyorudi Angola kuomba hela!
 
Tatizo wabongo lugha ya kingereza huwatesa sana, hivyo hamuwezi kutoka inabidi mseme eti mnabana matumizi.
 
Uk is the second biggest economy in Europe

Hiyo ni shauri ya finance industry ,,city of london“ lkn ukiondoa finance na one square mile City of london Uingereza has nothing to offer Afrika zaidi ya kuchukuwa na kuwalazimisha mnunue Land Rover ambayo haina wateja sasa hivi.
 
Back
Top Bottom