Raisi wa Kenya amefanya juhudi kuhakikisha bidha za kenya , zinapata soko la uhakika. Juhudi zake zitawasaidia hata baadhi ya watanzania, na pia itatuletea hasara K.M.
1. Mikoa ya Arusha na Moshi: Mazao yao ya Horticulture kama Avocado na Maua yatapata bei, Tanzanite na madini mengi madogo yatavushwa kwa wingi. Uwanja wetu wa ndege wa KIA utapata upungufu wa mizigo.
2. Mikoa ya MARA, BUKOBA na MWANZA madini mengi yatazidi kupata bei Nairobi.
Hii ni mifano midogo tuu, Hii mikutano ya kitaifa ni muhimu sana, Wengi wetu tulijua BREXIT italeta manufaa kwa nchi za Common Wealth, kwani UK itahitaji soko la Bidha zao, na pia wabia wa kibiashara, Tutaona Investements Nyingi sana, Kwani UK ina Ushawshi mkubwa sana kwenye FINANCIAL WORLD.