Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Duh! Kazi ipo huko Kenya; hakuna kuaminiana kwa namna yoyote ile. Sasa IEBC waki-disclose kila kitu usalama wa mfumo na data zilizomo utatoka wapi? Kila kitu disclose hadi passwords! Wanachofanya NASA naona wameamua kuvuruga tu uchaguzi baada ya kuhisi wanaenda kupigwa tena; tena pigo baya zaidi.