Kenya uses new technology to nab poachers at night: WWF - Capital News

Namezitazama hizo video nakwambia hizo camera ni ajabu sana, zinauwezo wa kuonyesha poacher na ranger kwa rangi tofauti!! Technology safi sana
 
Labda tu kuwe na interest lakini porcher hawawezi shindana na technology sababu porchers wengi ni uneducated, hata mbuga za tz wakiamua wafunge satellite kuminotor movement zote za porchers inawezekana ukionekana mbugani wwe ni porchers inatumwa drones uwe chakula cha fisi, porching itakoma,kuliko wamekalia matangazo ya kuzuia porching wakati porcher wengi hawaelewi,tukiacha maslahi technology inawezamaliza porching.
 
Namezitazama hizo video nakwambia hizo camera ni ajabu sana, zinauwezo wa kuonyesha poacher na ranger kwa rangi tofauti!! Technology safi sana
Such things ndio zinafaa ziekwe kwa mipaka sasa
 
I second you.
 
Even more enhanced security systems are in the offing after the completion of Kenya Somalia Wall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…