Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Shirika la afya duniani who limeelezea wasiwasi wake kuhusu kasi ya maambukizi ya virusi vya corona barani afrika, huku idadi ikiendelea kuongezeka katika baadhi ya mataifa ya bara hili. Mikakati kadhaa inahitajika kuhakikisha bara hili linakwamua uchumi uliaoathirika na janga hili mbali na kuwa na vifaa vya kutosha kuwahudumia waathiriwa. Lakini hapa nchini kenya, kuna matumaini huku taasisi ya kemri ikiwa inafanya utafiti kuhusu dawa za kiasili.
MY TAKE: I call this, walking under the shadow of Tanzania!
MY TAKE: I call this, walking under the shadow of Tanzania!