Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Tatizo lipo pale ndugu zako walipo anza kukejeli dawa za mitishamba zinazotumika Tanzania zilizo fanyiwa tafiti na NIMRI na nchi zingine.Sasa tatizo ni nini? Shirika la utafiti la KEMRI lina kitengo cha kufanya utafiti wa tiba za asili na sasa hivi kutafuta tiba/chanjo ya COVID-19 ndio kipaumbele cha mashirika kama hayo kote duniani. Tena zaidi ya yote KEMRI ni moja ya mashirika ya utafiti duniani ambayo yamejisajili kwenye kampeni ya WHO, 'Solidarity Trials', ya kutafuta tiba kwa pamoja wakiwa na wenzao wengine ambao wana idhini kama yao kutoka kwa WHO, ya kufanya majaribio ya tiba/chanjo za COVID-19 kwa binadamu. Wanayo dawa nyingine ambayo wanaifanyia majaribio pia. Zedupex, ambayo waliibuni mwaka wa 2015 kutoka kwa tiba asili na ambayo imekuwa ikitumiwa kutibu Herpes. Hivi mna hati miliki ya mti wowote ule, na mti wenyewe mliufanyia utafiti upi wakati wa kile kioja cha babu wa Loliondo?
Shirika la afya duniani who limeelezea wasiwasi wake kuhusu kasi ya maambukizi ya virusi vya corona barani afrika, huku idadi ikiendelea kuongezeka katika baadhi ya mataifa ya bara hili. Mikakati kadhaa inahitajika kuhakikisha bara hili linakwamua uchumi uliaoathirika na janga hili mbali na kuwa na vifaa vya kutosha kuwahudumia waathiriwa. Lakini hapa nchini kenya, kuna matumaini huku taasisi ya kemri ikiwa inafanya utafiti kuhusu dawa za kiasili.
MY TAKE: I call this, walking under the shadow of Tanzania!
Hawa watu wana matatizo sana. Walitucheka na kujifukiza kwetu, na wao wameanza kupeana miti shamba. Mk254 saa hizi yupo under curfew ameshalala na baridi la nairobi,sijui anajifunika nini huko Kibera.
Tatizo lipo pale ndugu zako walipo anza kukejeli dawa za mitishamba zinazotumika Tanzania zilizo fanyiwa tafiti na NIMRI na nchi zingine.
Mbona mnakuwaga wasaulifu mapema yote hii?
Unakumbuka uzi alioufungua Naton Jr kuhusu dawa za mitishamba?
Tafuta huo uzi kisha usome comments za Wakenya wenzako then rudi uje kusoma ulicho comment humu.
Njoo dar hapa uwaone wadada wa kizambia wanavyopagawa na dar,wengi wanakuja kubeba nguo kariakoo na mchikichini
Safari hii mtaruka ruka hadi akili ziwakae sawa,Wewe unalinganisha Kemri na Nimri? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nilisoma ripoti ya Nimri. Hakuna tafiti walifanya. Wao walidhibitisha tu kwamba dawa haina sumu (toxicity test).
Hio dawa yenu ilitengenezwa na kijana ambaye hajielewi. Haikufanyiwa testing ya effectiveness.
Kemri is an international research lab. Using modern methods, and processes in drug development.
Usiilinganishe na huo ujinga wenu.
Safari hii mtaruka ruka hadi akili ziwakae sawa,
Mlikuwa mnadharau dawa za mitishamba ona leo mmerudi kule kule kwenye mitishamba tena ile ya loliondo mliokuwa mnaidharau
Anajua nini huyu kiazi.Njoo dar hapa uwaone wadada wa kizambia wanavyopagawa na dar,wengi wanakuja kubeba nguo kariakoo na mchikichini
Endelea kukata kiuno kama feni mbovu,huku corona ilijua haijui[emoji16][emoji16][emoji16].imeamua ije ioe watu huko kenya.Kenyan scientists are not clowns.
Dawa za miti shamba twatumia. In fact, dawa mingi duniani hadi za wazungu ziko na miti ama mimea kama ingredients.
Lakini ujinga wa kutangaza mmepata tiba bila trials hatuwezi fanya kama taifa.
Shirika la Kemri linaheshimika duniania na wao lazima wafanye process zao inavyotakikana.
Kama alivyo sema huyo daktari, lazima kwanza wapate hizo virusi kwenye lab na kuzifanyia testing kwenye lab. Kisha human trials.
LDC Tanzania ni nchi mliojaza matope kwa akili, kwanzia rais hadi hawa ya Nimri.
Hahaha guinea [emoji200] subirini dawa kwa mabwana zenu,Kenyan scientists are not clowns.
Dawa za miti shamba twatumia. In fact, dawa mingi duniani hadi za wazungu ziko na miti ama mimea kama ingredients.
Lakini ujinga wa kutangaza mmepata tiba bila trials hatuwezi fanya kama taifa.
Shirika la Kemri linaheshimika duniania na wao lazima wafanye process zao inavyotakikana.
Kama alivyo sema huyo daktari, lazima kwanza wapate hizo virusi kwenye lab na kuzifanyia testing kwenye lab. Kisha human trials.
LDC Tanzania ni nchi mliojaza matope kwa akili, kwanzia rais hadi hawa ya Nimri.
Wanapagawa Kama Watanzania Mombasa.Njoo dar hapa uwaone wadada wa kizambia wanavyopagawa na dar,wengi wanakuja kubeba nguo kariakoo na mchikichini