Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways limesema safari 9 za ndege zimeathirika na zoezi hilo la Jumatano
Safari zilizoathirika ni pamoja na KQ 264/265, KQ 351, KQ 401,KQ 412, KQ 434, KQ 550, KQ654 /655
Zoezi hilo ni sehemu ya matayarisho ya maadhimisho ya sikukuu ya Jamhuri itakayoadhimishwa Jumatatu 12 Desemba.