Kenya uzalendo umewashinda ndege zimeanza kufanya kazi

Kenya uzalendo umewashinda ndege zimeanza kufanya kazi

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2020
Posts
1,257
Reaction score
1,543
Wakenya wanatubeza Sana kisa hatujakaa Lock down na kutuona Kama vile hatuwezi kujiudumia wenyewe. Pale tutakapo kua Lock down.

Sasa nashangaa wao wanahubiri kukaa lock down wakati lock down hawaiwezi juzi Kenya airlines imetanga kurudia katika kazi zake za kawaida na Safari utakua inaenda.

Quanzuu
Hong Kong
London
United Arab

Sasa hii inamaana gani? Wakenya njooni mtufafanulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu kwa sasa tuachane na Wakenya kwanza, hebu tuongeze nguvu kwa yanayotusibu sisi kama Taifa.

Hawa wana namna yao kujikinga, kujiponya na kujikontroo, hebu tu focus kwenye maswahibu yetu mkuu kwa sasa kama Taifa.
 
Yakwetu yamesha tudhinda tunatafuta wa kujiringanisha nae matatizo mkuu kwa Tanzania yetu hii ambayo inashindwa kuitenga dar na Mikoa ambayo haijaathirika utaishaur nn Kwan viongoz wetu hawaon?
Hebu kwa sasa tuachane na Wakenya kwanza, hebu tuongeze nguvu kwa yanayotusibu sisi kama Taifa. Hawa wana namna yao kujikinga, kujiponya na kujikontroo, hebu tu focus kwenye maswahibu yetu mkuu kwa sasa kama Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni habari mpya. Habari zilizokuwepo ni kung'oa viti vya ndege za abiria ili wabebe maua kulinda ajira za Wakenya walioko ng'ambo; baadae sijii huko ng'ambo wamekataa hilo deal wakaona Wakenya wote warudi nyumbani. Labda ndo hizi safari zinaanza utekelezaji.
 
Mbona hutupi habari ya corona kumtafuna Mbunge mmoja wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni tatizo kubwa sana hili, nadhani huu nao ni ugonjwa mwingine mbaya sana kuliko hata corona na kutafuta dawa ya huu ugonjwa ni kazi ngumu mno kwasabab waathirika wakubwa ni wasomi ambao tungetegemea ndio watoe Elimu kwa wengine.
 
mzalendo iq1,
Ni bora tu zingebaki uwanjani lakini kwa kufanya hivyo inabidi wajitayarishe kupata hasara zaidi. Pengine wasafirishe cargo.
 
Nivema kuangalia hali yetu kwanza,kila mtu apambane kwao kwanza
 
Eti ndege za Kenya airlines zinafika United Arab. [emoji1] Watz tuliwaambia mfunge bar na vilabu vyote mkajifanya wakaidi, ona sasa.
 
mzalendo iq1,
Wame control na sasa wanarudi normal, na sisi tulikuwa normal na sasa twaelekea ku control, in few months we will say which was the best path to take, kwa sasa bado!
 
Hivi ni kwa nini mnapenda kuendekeza ujinga na kuleta ushabiki wa kioumbavu kwenya majanga serious?
Yaani ndani ya ubongo wako umeshindwa kabisa kupata cha kuchangia zaidi ya hiki ulicho post?
Mkuu kwa kweli hili nalo pia ni janga kubwa mno, na hatutakiwi kulipuuza hili.
 
Wakenya wanadanganywa hii imetangazwa pia makampun yote ya usafirishaj yametumiwa meseji kua Safar zinaanza fatilia vizuri au Kama unafahamiana na watu wa kargo apa tz uliza
Hii ni habari mpya. Habari zilizokuwepo ni kung'oa viti vya ndege za abiria ili wabebe maua kulinda ajira za Wakenya walioko ng'ambo; baadae sijii huko ng'ambo wamekataa hilo deal wakaona Wakenya wote warudi nyumbani. Labda ndo hizi safari zinaanza utekelezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom