mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Hebu kwa sasa tuachane na Wakenya kwanza, hebu tuongeze nguvu kwa yanayotusibu sisi kama Taifa. Hawa wana namna yao kujikinga, kujiponya na kujikontroo, hebu tu focus kwenye maswahibu yetu mkuu kwa sasa kama Taifa.
Hivi ni kwa nini mnapenda kuendekeza ujinga na kuleta ushabiki wa kioumbavu kwenya majanga serious?Corona imeanza kuwala wabunge wa ccm
Hili ni tatizo kubwa sana hili, nadhani huu nao ni ugonjwa mwingine mbaya sana kuliko hata corona na kutafuta dawa ya huu ugonjwa ni kazi ngumu mno kwasabab waathirika wakubwa ni wasomi ambao tungetegemea ndio watoe Elimu kwa wengine.
Mkuu kwa kweli hili nalo pia ni janga kubwa mno, na hatutakiwi kulipuuza hili.Hivi ni kwa nini mnapenda kuendekeza ujinga na kuleta ushabiki wa kioumbavu kwenya majanga serious?
Yaani ndani ya ubongo wako umeshindwa kabisa kupata cha kuchangia zaidi ya hiki ulicho post?
Eti ndege za Kenya airlines zinafika United Arab. [emoji1] Watz tuliwaambia mfunge bar na vilabu vyote mkajifanya wakaidi, ona sasa.
Hii ni habari mpya. Habari zilizokuwepo ni kung'oa viti vya ndege za abiria ili wabebe maua kulinda ajira za Wakenya walioko ng'ambo; baadae sijii huko ng'ambo wamekataa hilo deal wakaona Wakenya wote warudi nyumbani. Labda ndo hizi safari zinaanza utekelezaji.
Eti ndege za Kenya airlines zinafika United Arab. [emoji1] Watz tuliwaambia mfunge bar na vilabu vyote mkajifanya wakaidi, ona sasa.