Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Imeripotiwa katika makala za Russia Today(RT) kuwa vijana wa #Kenya wanaamini kutembea na aliyewazidi umri kunatibu UKIMWI
Kwa kuwa sio wote wanaokubali kutembea nao, vijana huwabaka waliowazidi umri hasa wazee ambao wanakulikana kama 'Shushu'
Wazee hao wameanza kujifunza kupigana ili kujilinda inapotokea wanakumbana na matukio ya ubakaji