Kenya: Vijana wabaka wazee wakiamini ni tiba ya UKIMWI

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Imeripotiwa katika makala za Russia Today(RT) kuwa vijana wa #Kenya wanaamini kutembea na aliyewazidi umri kunatibu UKIMWI

Kwa kuwa sio wote wanaokubali kutembea nao, vijana huwabaka waliowazidi umri hasa wazee ambao wanakulikana kama 'Shushu'

Wazee hao wameanza kujifunza kupigana ili kujilinda inapotokea wanakumbana na matukio ya ubakaji

Your browser is not able to display this video.
 
Africa haichekani sana kwenye haya mambo ya kijinga.

Ajabu huwa ni hawa jamaa kujiona wao ndiyo wako very civilized kuliko wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…