Kenya: Vijana wengi huambukizwa UKIMWI ambapo vijana 22 hupata ugonjwa huo kila siku na 6 hufariki kila siku kwa ugonjwa huo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Afya nchini Kenya imebainisha kuwa vijana 22 wanaambukizwa VVU/UKIMWI kila siku ambapo idadi kubwa ya wale wanaoambukizwa ni kati ya miaka 12 na 16

Kulingana na ripoti hiyo, jumla ya vijana 6 wanakufa kila siku nchini humo jambo ambalo linazidi kupunguza/kukwamisha juhudi za vyombo mbalimbali katika kupambana na maambukizo mapya ya ugonjwa huo

Baadhi ya vijana huzaliwa na ugonjwa huo kupitia maambukizi kutoka kwa mama zao wakati wa kujifungua jambo ambalo Serikali inalaumiwa kwa sehemu kwa kushindwa kuzuia maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto kwa kushindwa kutoa dawa inayotakiwa wakati mwingine

=================================================

Probably you have heard something like HIV/AIDS is just like any other “disease” that people should stop being scared of but I hold a different view. HIV/AIDS has no cure and is still a menace across the country.

Sadly, the most affected by HIV/AIDS in Kenya at the moment are teenagers or adolescents with young girls leading the way. Majority of the adolescents infected have been found to have contracted the disease through unprotected sex.

A report released by the Ministry of Health on Wednesday has revealed that 22 adolescents are getting infected with HIV/AIDS daily in Kenya. Majority of those infected are between the age of 12 and 16.

According to the report, a total of 6 teenagers are dying daily in Kenya from HIV/AIDS further diminishing efforts by various agencies to fight new infections of the disease.

Some of the teenagers are born with the disease through transmission from their mothers during birth. The government is partly to blame for the mother-to-child transmission for failing to avail the required medicine sometimes.

In 2018, 430,825 adolescents were pregnant (these are those who sought services from hospitals. Most cases remain unreported.) This means 1 out of 10 girls in Kenya was pregnant in 2018.

Sadly, out of 430,825 adolescents who were pregnant in 2018, a total of 430,000 were between the ages of 10 to 19 years. They all delivered successfully.

During the same period of 2018, 5,286 adolescent mothers and 3,242 newborn babies were found to be HIV positive but missed the antiretroviral medication.

Counties that reported the highest cases of teenage pregnancies, and therefore, with high cases of infections are Tana River, Siaya, Busia, Meru, Narok, and Kisii.

The young in this country are the future. The government still has a long way to go in ensuring that cases of new HIV/AIDS infection among our teenagers are reduced and eliminated.
 
Hawa wanajiuza mombasa kwa watalii, pole yao ila wakija na TAKWIMU utakimbia
 
Sasa ungeleta takwimu za albino wangapi wanauliwa ama kuchinjwa kila mwezi Tanzania pia?
 
Kenya ni failed country! Wamewekeza billion of shilling kwenye miradi isiyo na tija huku draia wakifa kwa kukosa huduma na elimu ya kujikinga na magonjwa
 
Sasa ungeleta takwimu za albino wangapi wanauliwa ama kuchinjwa kila mwezi Tanzania pia?
Ahhahahhahahahhaahhahahhaha haaaaaa mkuuu pole sana habari za albino zimezimwa toka 2015.
Wachana na zilipendwa.
 
Kenya ni failed country! Wamewekeza billion of shilling kwenye miradi isiyo na tija huku draia wakifa kwa kukosa huduma na elimu ya kujikinga na magonjwa
Sasa unaanzza kuikashifu Kenya kabla hata uone ripoti ya TZ..... Kitu muhimu hapa ni death rate ya walio na ugonjwa wa ukimwi... Je, Unajua hali ya Tz ikoje kabla uan kukashifu kenya?
 
Sasa unaanzza kuikashifu Kenya kabla hata uone ripoti ya TZ..... Kitu muhimu hapa ni death rate ya walio na ugonjwa wa ukimwi... Je, Unajua hali ya Tz ikoje kabla uan kukashifu kenya?
Hatujafikia huku baba la baba.
Huku wapo wengi waishio na UKIMWI lakini wanafata tahadhari kwa kunywa vidonge vya ARV na kuzingatia mlo.
Ila Kenya hilo hamfanyi.
 
Hatujafikia huku baba la baba.
Huku wapo wengi waishio na UKIMWI lakini wanafata tahadhari kwa kunywa vidonge vya ARV na kuzingatia mlo.
Ila Kenya hilo hamfanyi.
Nani alikudanganya hivyo??



2016 Kenya kulikua na watu 1.6m wanao ishi na virusi vya ukimwi, wakati Tanzania walikua 1.4m
2016 Kenya waliokufa kwasababu ya Ukimwi ni 36,000 wakati Tanzania waliokufa na Ukimwi ni 33,000

Tukilinganisha death rate ya walio na Ukimwi VS wanaokufa na ukimwi.....

Kenya ---> 36k/1.6m*100 = 2.25%

Tanzania ----> 33k/1.4m*100 = 2.36%


Kwa kifupi, mwaka 2016, asilimia 2.25 ya wakenya walio na ukimwi walikufa wakati asilimia 2.36 ya watanzania walio na Ukimwi walikufa......
Hii inamaanisha ni wakenya wengi zaidi ndo wanafwata tahadhari na kunywa vidonge vya ARV na lishe bora kuliko watanzania kadri wapapopatwa na ugonjwa huo! Kwahivyo next time ukiona taarifa inaongelea jambo flani kuhusu Kenya, anza na kunchunguuza Tanzania kukoje kabla kuanza kukashifu.
 
Hili la UKIMWI sijui nini kifanyike, maana vijana wengi hawaelewi huu ugonjwa ni hatari kiasi gani. Sisi tulionusurika miaka ya 90 tunauheshimu huu ugonjwa.
 
Lete data za ccm...ama bado mna deal na wapinzani
Kenya ni failed country! Wamewekeza billion of shilling kwenye miradi isiyo na tija huku draia wakifa kwa kukosa huduma na elimu ya kujikinga na magonjwa
 
Kule kenya kuna katabia vijana wameanzisha ambayo isipokomeshwa ni Hatari kweli kweli,
Iko hivi, Vijana wa kiume na kike wanaanzisha Sex party ambayo unachangia alafu pombe inakuwepo pia then kitakachofuatia ni kugegedana tu bila Kujuana tena raw kabisa, ngoja nikutaftie poster ya tangazo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hili la UKIMWI sijui nini kifanyike, maana vijana wengi hawaelewi huu ugonjwa ni hatari kiasi gani. Sisi tulionusurika miaka ya 90 tunauheshimu huu ugonjwa.
 

Heee! Sex what!!!?
Yaani wanataka waanze kubwia midawa katika umri mchanga hivyo!!!?
 
Man uko sawa kweli??
Ebu rejelea kufanya hiyo hesabu tena.
Kwa akili zako watu 1.4 millions kati ya population ya Tz ina ukubwa kuliko watu 1.6millions ya kenyan population ?!!!

U
 
Man uko sawa kweli??
Ebu rejelea kufanya hiyo hesabu tena.
Kwa akili zako watu 1.4 millions kati ya population ya Tz ina ukubwa kuliko watu 1.6millions ya kenyan population ?!!!


U
Labda umesahau hoja yako ilianzia wapi hadi tukafika hapo... wacha nikukumbushe, haya ndo ulioyasema 👇 kwamba hata nyinyi mnao wengi walio na ugonjwa lakini wanapewa vidonge vya ARV na kunzingatia lish bora...


Hatujafikia huku baba la baba.
Huku wapo wengi waishio na UKIMWI lakini wanafata tahadhari kwa kunywa vidonge vya ARV na kuzingatia mlo.
Ila Kenya hilo hamfanyi.



Mimi nimekuonyesha ushahidi ambao unapinga hayo ulio sema..... Ikija kwa mambo ya statistics, hauangalii nambari tu, unaangalia asilimia.... i.e Licha ya Kenya kua na nambari kubwa zaidi ya walio na ukimwi, ni asilimia chache wanaokufa kutokana na ugonjwa huo kuliko watanzania, kwahivyo hio inamaanisha huku Kenya ni wengi wanakunywa vidonge na lishe bora. Hoja hapa si "infection rate/number", hoja ni "death rate"
 
Nimekuuliza 1.6 millions kwa population ya Kenya na 1.4 millions kwa population ya Tz wapi hufa wengi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…