pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwenye michezo tanatesa si uongo. BRAVO! To all the Kenyan men and women, out there using their God given talents to fly the Kenyan flag high. BRAVO!!! again, I salute you all!Si mbio za masafa marefu, Skiing, Football,Kabadi, Chess, Cricket, Horse Jockey, Rugby Sevens and Fifteens na hata Volleyball yani tupo kila mahali kuipeperusha Bendera ya Kenya kila mahali mpaka wameshakubali sisi ni wale wa kujituma, kubobea na kukomaa katika spoti na pia kiuchumi. Kenya Hoyeeee!
Hapo uliposema nimewaona, ingependeza sana kama ungefafanua kwa mapana jombaa.Nawakubali na nimewaona sio kusimuliwa, "Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" hongereni sana