pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini kinaendelea kule Uganda?Kenya wanatunyoosha kila mahali!
Sio Uganda kule sio Mali kule!
I’m dead!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Go Kenya Go!!! Lazima nchi hii itawale bara hili...
![]()
Kenya na DRC ndio walikuwa ma 'under dogs' kwenye semis. Ila tulifanikiwa kuwa bwaga chini magwiji Morocco na Angola. Kufika fainali tu sio jambo la mzaha mzaha. May the best team win.Go Kenya Go!!! Lazima nchi hii itawale bara hili...
![]()
Kwa muziki na mademu wazuri mpo vizuri. Hongereni..Kenya wanatunyoosha kila mahali!
Sio Uganda kule sio Mali kule!
I’m dead!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We already have by reaching the finals, I hope Mods wataunganisha huu uzi na ule mwingine.We have to put our stump in the map of Africa.
I knew our goose was cooked when they kept hitting us on fast breaks and 3 points, besides all we tried, Congrats to Congo, well played82-61, hongera kwa DRC kwa kuibuka kidedea. Vivyo hivyo kwa Kenya Morans, kongole kwa kuiwakilisha na kuipeperusha bendera ya Kenya. You are true sons of Kenya and thanks for making Kenya proud! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
Kweli kabisa, Kenya Morans wanastahili pongezi kwa kufika fainali na kuibuka wa pili kwenye basketball barani Afrika. Alafu Kenya tupo kote kote, riadha, Malkia Strikers wanafanya yao kwenye mpira wa wavu, Raga, Hockey, kuna hadi timu ya Kenya ya Ice Hockey!At least we emerged second best in the Continent. joto la jiwe njoo utupe kongole hapa.
Mna hadi timu ya kubaka mbuzi kule kiambu nyie kweli ni wanomaKweli kabisa Kenya Morans wanapstahili pongezi kwa kufika kwenye fainali za Afrika za basketball. Alafu Kenya tupo kote kote, riadha, Malkia Strikers wanafanya yao kwenye mpira wa wavu, Raga, Hockey, kuna hadi timu ya Kenya ya Ice Hockey!
Miaka ijayo inafurahisha tutakuwa tunachukua taji na medali karibu zote na vijana wetu kupata ajira mbadala.https://www.nation.co.ke/sports/bas...-Star-team/1128096-5213448-rjxpphz/index.html Baada ya Kenya Morans kuibuka na medali ya silver kwenye mchuano huo wa FIBA AfroCan 2019 wakenya wawili walipata tuzo pia. Mkenya Tyler Okari alijishindia tuzo la top scorer kwenye mchuano huo, na points 130, point 22 kati ya hizo alizipata kwenye fainali. Bush Wamukota naye akawa 'top blocker'. Wote wawili wamepata nafasi kwenye timu ya Afrika ya mpira wa vikapu, Africa All Stars.
Kumbe mnakimbiza upepo sababu ya njaa nilijua mnapendaM
Miaka ijayo inafurahisha tutakuwa tunachukua taji na medali karibu zote na vijana wetu kupata ajira mbadala.