Kenya Vs. D.R.Congo! FIBA AfroCan 2019, ni nani atanyanyua 'trophy'?

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Fainali ni leo hii kule Bamako, Mali, 18:30GMT. Kwenye mchuano wa mpira wa vikapu Afrika, FIBA AfroCan 2019. Kenya walifuzu baada ya kuwagaragaza Morocco 96-66 kwenye semi-finals, huku D.R.Congo wakiwacharaza Angola 84-78. Hongereni Kenya Morans, kwa kuiwakilisha nchi ya Kenya vilivyo. Go Kenya gooo!!! [emoji1139][emoji1139][emoji1139] http://www.fiba.basketball/afrocan/...-final-who-lifts-the-trophy-dr-congo-or-kenya
 
Go Kenya Go!!! Lazima nchi hii itawale bara hili...

Kenya na DRC ndio walikuwa ma 'under dogs' kwenye semis. Ila tulifanikiwa kuwa bwaga chini magwiji Morocco na Angola. Kufika fainali tu sio jambo la mzaha mzaha. May the best team win.
 
Kenya wanatunyoosha kila mahali!
Sio Uganda kule sio Mali kule!
I’m dead!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa muziki na mademu wazuri mpo vizuri. Hongereni..
Wakenya nawatakia kila la kheri. Nina imani mtashinda pingli nywele
 
82-61, hongera kwa DRC kwa kuibuka kidedea. Vivyo hivyo kwa Kenya Morans, kongole kwa kuiwakilisha na kuipeperusha bendera ya Kenya. You are true sons of Kenya and thanks for making Kenya proud! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
 
82-61, hongera kwa DRC kwa kuibuka kidedea. Vivyo hivyo kwa Kenya Morans, kongole kwa kuiwakilisha na kuipeperusha bendera ya Kenya. You are true sons of Kenya and thanks for making Kenya proud! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
I knew our goose was cooked when they kept hitting us on fast breaks and 3 points, besides all we tried, Congrats to Congo, well played
 
Kumbe ndo.maana mmetulia maana mlianza kuwashwa washwa ghafla mkaloa
 
At least we emerged second best in the Continent. joto la jiwe njoo utupe kongole hapa.
Kweli kabisa, Kenya Morans wanastahili pongezi kwa kufika fainali na kuibuka wa pili kwenye basketball barani Afrika. Alafu Kenya tupo kote kote, riadha, Malkia Strikers wanafanya yao kwenye mpira wa wavu, Raga, Hockey, kuna hadi timu ya Kenya ya Ice Hockey!
 
Kweli kabisa Kenya Morans wanapstahili pongezi kwa kufika kwenye fainali za Afrika za basketball. Alafu Kenya tupo kote kote, riadha, Malkia Strikers wanafanya yao kwenye mpira wa wavu, Raga, Hockey, kuna hadi timu ya Kenya ya Ice Hockey!
Mna hadi timu ya kubaka mbuzi kule kiambu nyie kweli ni wanoma
 
https://www.nation.co.ke/sports/bas...-Star-team/1128096-5213448-rjxpphz/index.html Baada ya Kenya Morans kuibuka na medali ya silver kwenye mchuano huo wa FIBA AfroCan 2019 wakenya wawili walipata tuzo pia. Mkenya Tyler Okari alijishindia tuzo la top scorer kwenye mchuano huo, na points 130, point 22 kati ya hizo alizipata kwenye fainali. Bush Wamukota naye akawa 'top blocker'. Wote wawili wamepata nafasi kwenye timu ya Afrika ya mpira wa vikapu, Africa All Stars.
 
M
Miaka ijayo inafurahisha tutakuwa tunachukua taji na medali karibu zote na vijana wetu kupata ajira mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…