Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africa usicheze na hizi nchi kwenye UtaniHaha utani wa ngumi kwa hiyo Tattoo inadunda kwenye mwili wa mkenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Siku moja wanaigeria wake humu tuvurugane nao.Africa usicheze na hizi nchi kwenye Utani
1. Mozambique
2. Nigeria
3. Zambia
Hao watu ni noma[emoji23][emoji23]
Nikiwa na free time huwaga nafuatilia mpambano wa Mozambique na Malawi, unaweza ukacheka ukafa[emoji23] hawa watu hawapendani balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Siku moja wanaigeria wake humu tuvurugane nao.
Nikiwa na free time huwaga nafuatilia mpambano wa Mozambique na Malawi, unaweza ukacheka ukafa[emoji23] hawa watu hawapendani balaa
Haha, wajibu hawajipendi[emoji23]Hahha kwenye hayo mabishano wakenya wamekaa kimya kama vile hawapo.
Wanigeria huwa na respect sana kwa Mtanzania.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Siku moja wanaigeria wake humu tuvurugane nao.
Wanajua nasi ni vichwa zaidi yao.Wanigeria huwa na respect sana kwa Mtanzania.
Mkuu hebu nitajie hilo chimbo huko Twitter nikajionee na mmNikiwa na free time huwaga nafuatilia mpambano wa Mozambique na Malawi, unaweza ukacheka ukafa[emoji23] hawa watu hawapendani balaa
Watanzania ni majiwe [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanigeria huwa na respect sana kwa Mtanzania.
Unafuatiliaga wapi mkuu?Nikiwa na free time huwaga nafuatilia mpambano wa Mozambique na Malawi, unaweza ukacheka ukafa[emoji23] hawa watu hawapendani balaa
kwa hivyo wewe mzungu sio? white man how are youNiggas so black they usually win in race coz other runners can't see them.
And we all know you can't beat what you can't see.