Kenya vs Nigeria. Just For Laugh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mwaswast
Sasa na wewe kutegemea weusi kama giza ukupe ushindi si kujipatia vitu bure bure?
 
mwaswast

Nakuona ukiwa ndani ya shela ukiolewa. Usijisikie vibaya tho maana ni nchi nzima mtakua ndani ya shela mkiolewa na wachina.
 
mwaswast

Nakuona ukiwa ndani ya shela ukiolewa. Usijisikie vibaya tho maana ni nchi nzima mtakua ndani ya shela mkiolewa na wachina.
Expirience unayo mkuu, nasikia nyie mliolewa kitambo sana na nchi yeyote ile mpaka mkapewa lile jina la shamba la bibi.
 
mwaswast

Hahahaha soma historia chief. Shamba la Bibi iliitwa hivyo ikimaanisha eneo la kuheshimiwa.

Nyinyi na Zambia mnakua mwembe wa uani, mchina atakula matunda mpaka mbegu na kizazi chenu kitapotea. Leteni utani tu
 
Wapi babaa na vile tunachuma humo kwenu usiku na mchaa, madini yanapotea kila uchao nyie mkiwa juu ya wake zenu.
 
mwaswast

Sasa kama hatuwaoni kutokana na weusi wenu tutawazuiaje?

Hivi kuna kiumbe anapenda kukaa juu ya mkewe kuliko mkenya? Odinga na chama tawala walijifanya hawataki kusuluhisha ujinga wao wanawake wakagoma msikae juu yao hadi msuluhishane.

Haukupita mwezi wakakaa chini na kuyamaliza.
 
Lakini hapa mnatuona na kuisoma namba

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kweli supu ya albino si maziwa. Vindu vipumbavu yaani vindu vijingatype.vichwa majimaji rebellion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…