Halafu wote ni (9) wapumbavu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kenya na Nigeria wanafanana katika maeneo Mengi sana
1) Terrorism
2) Corruption
3) Unemployment
4)Slums
5)Poverty despite of big GDP
6) Inflated price but very old SGR
7)Big gap between poor and rich
8) Ruthless Economy
Imekusaidia nini sasa...??π€π€π€ IQ yako iko low sana...Wewe utakuwa bado unanyonya...Hii battle imeingia siku yake ya tatu sasa. Wakenya na Wanigeria wanarushiana makonde kwenye twitter battle. Kwangu naona vita itatoka draw - draw maana Wanigeria pia sio wachache lakini wamejua kuwa KOT (kenyans on twitter) ndio baba yao kwenye twitter
Nimeipost kwenye section ya Kenya. Hii section inahusu mambo ya Kenya. Nataka Wakenya wenzangu waisome. Hii sio thread ya Watanzania kwani hata kiingereza ni tatizo kwenu, nendeni kwenye section ya mapenzi.Kwanini huu Uzi usingepeleka Nairaland huko ??? Saa kwenye forum ya wtz we unashindanisha wanijeria sijui wapo humu aseee.. Akili za wakenya wanazijua wenyewe