Kenya ni gari lenye shida kadha, over-heating, wheel alignment , saa zingine panctures .. lakini wenyewe wanajua kuna shida, na kila wakati wanajaribu kurekebisha.. Lakini
Tanzania ni baiskeli "ZEE", ambalo wenyewe wanadhania Ferrari ... tafakali hayo
Katikati ya Corona Kibera kukoje? Sehemu gani Tanzania 🇹🇿 waweza linganisha na Kibera?
Niko hapa Karen Bistro, Ngong Road kwa mapumziko, Tanzania is the best place to be
Katikati ya Corona Kibera kukoje? Sehemu gani Tanzania 🇹🇿 waweza linganisha na Kibera?
Niko hapa Karen Bistro, Ngong Road kwa mapumziko, Tanzania is the best place to be