Kenya vs Tanzania mashindano ya Chan

mcndomba maprosoo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
225
Reaction score
94
Salam ndugu zangu. Kabla ya mechi ya Kenya v Tz Afcon kule Egypt kulikuwa na debate Kali Sana humu ndani kila upande ukishabikia kwake. Na hata baada ya matokeo ya 3-2 bado mjadala uliendelea.

Lakini sikuona mjadala wa kabla na baada ya matokeo ya juzi kwenye kifuzu Chan baada ya Kenya kuchalazwa na Tz, ni kwamba mashindano haya hayakupewa kipaumbele au kwa vile iliingiliana na event ya team ya wananchi na bakuli kubwa kama hili?
 
Bwana mdogo upo?
Acha waumane mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…