Kenya vs Tanzania military

I've lived in SA for a long time.. all the military personnel i have encountered say they have never met a more pathetic army in their lives... "like chickens in the rain" what they say about TZ army... about the struggle u didn't help them fight... u just hid their fighters.. very different from picking up arms.. the Boers would have destroyed you in a second if u tried
 
if you fight TZ its an assured win for the other party
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizo ni Old news. Hata Germany ilipigana vita vingi kuliko USA. But when the US joined the war walijua hawajui. The Old troops which fought gorilla wars under Peace keeping missions don't count! Infact so far Tz has not been into any war! Mkuje Somalia Jangwani where Kenya, Ethiopia & Uganda are tupimane nguvu in open air war. Huko akuna cha ushujaa ama Majimaji. Huko ni jambo la ni nani atakukufa wakwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Japan unaiita nchi ya kinyonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee baba umekunywa gongo
 
Yani vifaa kibao lakini mmeua msomali 1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ina maana msomali 1 ni sawa na KDF 30!?? KDF wanakufa kila siku tunapata habari zao Mara 5 Mara 10 Mara 20 lakini hatuskii ni wasomali wangap wameuwawa[emoji23]
 
Kijana nakuona unahangaika sana.
Hebu kuja uone vitu vya bongo kidogi
 
Uko sure? Mko na...?
*Mi-28 Havoc Attack.
*F-5E/F Tiger II.

Buda Kenya has lethal weapons nyinyi mko na vitu duni za China na Korea alafu less Arsenal.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tukiendavita mnaisha tu.
 
Hii inaitwa SA-3 kijana. Nenda google uone mambo kijana
 
SA-6 kijana tukianza kukuonesha utakimbia
Tanzania oyee
 
idd amini alikua ana support kubwa toka kwa kadaffi ya vifaa na wanajeshi na akala kichapo,katika vita sio vifaa tu pia na moyo wa kupigana na displin iwepo,majirani hili la moyo wa kujitoa hamna,tuliona ile habari ya west gate wale wanajeshi badala ya kufanya kilichowapeleka hapo wakageuka kua wezi,kukosa displin na molali huku kushinda vita ni ngumu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nendeni mkajaribu tena kuchokoza Uganda Muone! These guys have SU-30 fighter Jets!!![emoji50][emoji50] Mtafagiliwa kama takataka nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zileteni hizo mitungi za showground Somalia tuone kama mtamaliza wiki moja nazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Somalia is not our interest kijana. Nakuona kijasho chembamba kinakutoka.
Kuna BM-21 zaidi ya 250
 
Hivi TZ ilitumia muda gani kumtoa Iddi Amin
Kisha KENYA imetumia muda gani kujaribu kumtoa alshabab.......
Vita ni akili mkuu sio mbwembwe za zana gani za kivita ulizonazo
 
Sasa ndo naelewa kwanini vijana wa kenya mnapenda kugawa tigo kwa wazungu?

Lakini izo allies zinawasaidia nini kama mnaongoza kwa let kubwa ya unemployment, slum

Yanini kujitutumua akati hata maji nairobi hakuna
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we umefika Nairobi ukapata hakuna maji? Buda, Nairobi ni Kubwa na inategemea pia unaishi wapi.
Sasa ndo naelewa kwanini vijana wa kenya mnapenda kugawa tigo kwa wazungu?

Lakini izo allies zinawasaidia nini kama mnaongoza kwa let kubwa ya unemployment, slum

Yanini kujitutumua akati hata maji nairobi hakuna
 
Hizi zitatumika tu kwa maonyesho ya show ground.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Experience ya vita hamna ju Tz has never been in any real war. Ethiopia na Uganda wako advance kuwaliko na bado wanakufa kama kuku Somalia nyinyi ni Makumbusho ndio inawafanya mjigambe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Come & fight as East African Members Under AMISOM! Muache kujitisha hapa
Somalia is not our interest kijana. Nakuona kijasho chembamba kinakutoka.
Kuna BM-21 zaidi ya 250
View attachment 890729View attachment 890730
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…