Kenya vs Tanzania vs Ethiopia statistics

50% of Tanzanians live in slums according to World Bank.
Population living in slums (% of urban population) - Zimbabwe, Tanzania, South Africa, Iraq, Iran, Islamic Rep., Philippines | Data
 
A doctor earning 500,000 KSH/month with a wife and 4 children (per capita income 83,000) vs a single accountant earning 100,000.
Who will have a better life?
The accountant
 
A doctor earning 500,000 KSH/month with a wife and 4 children (per capita income 83,000) vs a single accountant earning 100,000.
Who will have a better life?
Ulipotelea wapi? Bado uko marekani?
 
A big population is not always a good thing. Watanzania kama wangewacha kufyatuana kama panya saa hii wangekuwa na Gdp per capita ya juu sana.
Kati ya Tanzania iliyo kubwa kuliko nchi zingine nne (za Kenya, Uganda, rwanda na Burundi ukizichanganya pamoja) ina ukubwa wa 945,087 km² na idadi ya watu (wanaokadiriwa) milioni 58, na Kenya (ukubwa wa 580,367 km²) ikiwa na watu milioni 47.56 ni nani wanazaliana kama panya? Tanzania ina population density ya 62 people per square kilometer wakati nchi ya Kenya (pamoja na kuficha data za ukweli kuhusu population yenu) ina 80 people per square kilometer. Hapa wanaofyatuana kama panya ni kina nani?

Acha kujitoa ufahamu, bwana mdogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…