Kenya Vs Tanzania: Wapinzani vs Mbadala kukuza uchumi

Kenya Vs Tanzania: Wapinzani vs Mbadala kukuza uchumi

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,188
Reaction score
2,113
GTs,

Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija?

Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na Corona utadhani yeye mwenyewe hajioni kuwa ni mfaidika wa njia sahihi na bora ya kukabiliana na korona iliyoasisiwa na Dkt Magufuli.

Badala ya kuongelea namna gani tukabiliane na hali ya kiuchumi ili uchumi wetu uweze kuendana na mazingira hasa kukuza ajira kwa vijana, yeye anaongelea gaidi mbowe, jamani jamani, hakika taifa halina wapinzani.

Cheki wapinzani wa Kenya wanavyotrend Musalia Mudavadi unveils his ‘uchumi bora’ economic model

Nadhani ifike mahali kizazi cha akina Zitto waachane na siasa kwa maslahi mapana ya nchi.
 
Mkuu mbona na wewe umeishia kutoa lawama kwa wapinzani badala ya chama tawala CCM ambacho kimetawala nchi hii 60 years.

Ningeshukuru sana kama na wewe ungetoa analysis ya kiuchumi ya nini kifanyike Kama hao Wanasiasa wa Kenya ambao unawapigia chapuo.
 
Back
Top Bottom