Ndani ya Tanzania Simba vs Yanga ni watani wa jadi kimchezo.
Leo kidogo ni tofauti AFCON Kenya Vs Tanzania inaonekana ni mechi ambayo itavuta hisia kati ya hizo nchi mbili,kwenye mitandao ya kijamii kupeana vijembe,kutishiana na kejeli,Watanzania wakijidai wameoa Kenya na wanacheza na mashemeji zao.
Je kati ya Tanzania na Kenya mmoja akifungwa nani ataumia sana kwa utani kati yao?