Kenya vs Togo, Mpira hauna hamasa

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Wakenya bana, mnasikitisha.

Timu yenu inacheza lkn walioingia uwanjani ni theluthi tu ya watanzania walioingia kuisapoti Twiga stars inayotoa kipigo cha kufa mtu.

Mpira hauna hamasa, teknolojia butu, picha hafifu yaani hata siinjoi kabisa.

Njooni mjifunze kwetu
 
Wabongo wameingia bure. Hayo mashindano yangekuwa yana kiingilio ungeona idadi ya wahudhuruaji ambavyo ingekuwa ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…