Kenya vs Zanzibar, japo mie mzalendo, lakini Wazenji mnastahili

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa Wazenji walionekana kama under-dog muda wote huu, timu ndogo na ya kutupwa wamejizatiti na kupiga chini timu kubwa kubwa, hata Tanzania imelazwa na haikumudu. Japo napenda nchi yangu na timu yetu ya taifa, lakini hawa Wazanzibar kwa jinsi walivyojikaza hadi wamefika hapo, nawatakia kila la kheri.

Mechi kama hizi huwa naishia kufurahia bila kujali nani atashinda.

Game: Kenya v Zanzibar
Location: Africa
Competition: Cecafa Championship - Play Offs
Kick Off Time: 12:30 GMT au kwa saa yetu 15:30 Sunday, East Africa Time (EAT)
Date: 17.12.2017
Odds: 1.72
Best odds for Kenya v Zanzibar - Football tips Kenya v Zanzibar - Oddstake.com
 
Mpemba tunamla bila vilainishi, ataimba kwaya leo[emoji191] [emoji3]
 
shekhe wangu leo wa kenya wanakula 3-1 uhakika..
 
free kick safi kabisa yaipatia timu ya harambee stars uongozi
 
tafadhalini wanaotazama mechi kama mie hapa waje na livescore tuendeleze hi thread mpaka tamati
 
sidhani kama usiku wa kuamkia leo wazee wa kinzanzibar walilala.

kwa ninavyowajua watu wa visiwa vya unguja,watakuwa wamepasua nazi nyingi sana sambamba na kufanya makafara ya kimila ili washinde hii game ya leo.

mpira wa kiafrika bila ku-apply sayansi ya kiafrika hauwi mtamu.[emoji23] [emoji23]
 
 
Hata huyu mpemba husseni mapua tupo naye hapa beachi ameanza kushangaa shangaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…