MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Vurugu kubwa zinaendelea manyanja road wakati Laila akihutubia, mabomu ya kutoa machozi yanaendelea kurindima
===============================
-Wafuasi wa Laila wanapigwa virungu na kutawanywa
-polisi wametapakaa maeneo hayo
===============================
-Wafuasi wa Laila wanapigwa virungu na kutawanywa
-polisi wametapakaa maeneo hayo