Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kenya wana siasa za peke yao. Ruto anamtuhumu Gachagua kwamba ali organise ile movement ya Gen Z ya reject finace bill, ilivyoisha kaanza na Ruto must go. Lengo ilikua ni aomdoke Ruto ili yeye achukua kiti.Wazee..nisaidiei Tena. Huyu jamaa kaikosea Nini Kenya!?
Duh.Kenya wana siasa za peke yao. Ruto anamtuhumu Gachagua kwamba ali organise ile movement ya Gen Z ya reject finace bill, ilivyoisha kaanza na Ruto must go. Lengo ilikua ni aomdoke Ruto ili yeye achukua kiti.
Baada ya mpango wake kufeli naye Ruto akaandaa mpango wa kummaliza. Alichokifanya akaungana na Odinga ili imsaidie kupata ushawishi bubgeni kwa sababu alishandaa bomu la kummaliza Gachagua. Hapa Kenya hapatoshi ni Vuta n kuvute
Ruto ni Kalenjin kutoka Rift Valley na Gachagwa ni Kikuyu kutoka Mount Kenya. Haya ni maeneo mawili yenye wapiga kura wengi. Na ndiyo maana Ruto aliamua kwenda na Gachagwa ili apate kura za Mulima,Duh.
Asa Makamu wa Rais kwanini alifanya hivyo!!?
Je nae anatumiwa!? Au Ni muendelezo za siasa za kikabila za Kenya!!?
Je Ruto Ni wa kabila gani na huyu Makamu wake Ni wa kabila gani!?
Haki wakenya mnapenda vuruguWakili na mwanaharakati Morara Kebaso wameshambuliwa na baadhi ya wananchi wenye hasira kali katika ukumbi wa ‘Bomas of Kenya’ wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani nchini Kenya.
Soma Pia: Yanayojili hoja ya kumuondoa Naibu Rais Rigath Gachagua leo Oktoba 1, 2024
Okay..Ruto ni Kalenjin kutoka Rift Valley na Gachagwa ni Kikuyu kutoka Mount Kenya. Haya ni maeneo mawili yenye wapiga kura wengi. Na ndiyo maana Ruto aliamua kwenda na Gachagwa ili apate kura za Mulima,
Kenya na ukabila hawajawahi kuuficha ujinga huu
mwanadamu haji kuridhika. Wewe ni Naibu Rais lakini bado tu huridhiki.Kenya wana siasa za peke yao. Ruto anamtuhumu Gachagua kwamba ali organise ile movement ya Gen Z ya reject finace bill, ilivyoisha kaanza na Ruto must go. Lengo ilikua ni aomdoke Ruto ili yeye achukua kiti.
Baada ya mpango wake kufeli naye Ruto akaandaa mpango wa kummaliza. Alichokifanya akaungana na Odinga ili imsaidie kupata ushawishi bubgeni kwa sababu alishandaa bomu la kummaliza Gachagua. Hapa Kenya hapatoshi ni Vuta n kuvute