Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho " CCM-Kenya"

Wangejua jinsi jina hilo lilivyo na gundu wasingelitumia kabisa. Ni sawa na uzae mtoto umuite Ibilisi

Yaani acha tu.Kutakuwa Chama Cha Mauaji kama huku kwetu.
 
maana yake kuna watu kenya wanapenda ccm.
 
Nikisoma neno ccm huwa napoteza hamu ya kula na siku inaharibika
Uongo mtupu.umesoma kichwa cha thread,ukaingia ndani mpaka ukachangia na kuliandika kabisa jina hiyo siku haijaharibika tu?CCM ni kama maji,usipoyanywa utayakoga tu jiangalie usije kupata kiharusi kwa sababu ya chuki iliopitiliza,wenzio Lowassa na Sumaye bado wanazo kadi za CCM zipo chini ya mto,wanaamka wanazibusu wanaendelea kulala
 
Wakenya wanatafuta laana na mabalaa... hilo jina ni la kuzimu
 
wajiangalie sana huenda hilo jina linaweza likawapa mikosi na wakashindwa uchaguzi vibaya mno.
 
Usifikiri kwa nati moja, mimi sina chama na li ccm lenu silipendi, sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote so usinilazimishe
 
Usifikiri kwa nati moja, mimi sina chama na li ccm lenu silipendi, sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote so usinilazimishe
Hata usipoipenda ndio chama tawala huna jinsi,nuna tu
 
Ni kifupisho tu kama
VVU=Virusi Vya Ukimwi=Vina Vikali Usipime
THT= Tanzania House of Talents= Tanzania Hiphop Tunauza
So is not big deal
 
Wasije wakaleta tu bao la mkono na kuzuia mafuriko ya mluo kwa kidole cha mkono aiseee!
 
HAWA JAMAA WATTASHINDA UCHAGUZI AISE πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaani wamekosa majina hata watumie hilo?

Hawana tofauti na bongo muvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…