Kenya Wabunge Wataka Serikali kuzuia Wanawake kwenda kufanya Kazi za Ndani Uarabuni kwa Sababu za Kiusalama

Kenya Wabunge Wataka Serikali kuzuia Wanawake kwenda kufanya Kazi za Ndani Uarabuni kwa Sababu za Kiusalama

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Kutokana Ripoti za hivi karibuni za Unyanyasaji wa Kijinsia, Kimwili na Kiakili wa Wafanyakazi Wahamiaji katika Mashariki ya Kati, Wabunge Wanawake Wamesema Serikali inapaswa kudhibiti Mashirika yanayowapeleka Wanawake katika Nchi hizo hadi pale watakapohakikishiwa Ulinzi na Usalama Wao

Pia wameitaka Wizara ya Kazi kuwapa Orodha ya Mashirika na ldadi ya Wakenya wanaofanya kazi #SaudiArabia na katika Nchi nyingine ili kuwawezesha kuelewa Makubaliano kati ya Wizara na Mashirika hayo na hali ya Usalama ya Wafanyakazi hao


……………………….


We are pleading with government authorities to ban the deployment of Kenyan domestic workers to the Middle East until protection measures are taken.

Kenyan workers do not deserve the kind of cruelty they have been subjected to,” Gathoni Wamuchomba, the chairperson of the Kenya Women Parliamentary Association (Kewopa), who is also the Member of Parliament for Githunguri, told a press briefing on Tuesday at Parliament Buildings.

The MPs said they were concerned about recent reports of sexual violence, and physical and mental abuse of migrant workers in the Middle East.

“The government should regulate the agencies taking our girls, sisters and mothers to the Middle East. There is a need for an intensive multi-sectoral engagement with the ministries of Foreign Affairs, Interior, Immigration, and Labour and Social Protection to substantially work on a long-term solution,” they said.

Also read: Protect Kenyans working in Gulf or stop hiring
They at the same time asked the Ministry of Labour to provide them with a list of the agencies and number of Kenyans working in the Gulf to enable them to understand the agreement between the ministry and the agencies.

“We are demanding a statement from the ministries of Labour, Interior and Immigration how many of our girls are working in Saudi Arabia and other Asian countries and the status of their safety,” Ms Wamuchomba said

Source: Nation. Africa
 
Hongera manirani,na ikiwezekana walioko huko wake. Ingekuwa ni Tanzania 🇹🇿,tusingefikia hatua hiyo bunge
 
Back
Top Bottom