Kenya: Wabunge watwangana makonde wakigombea nani Rais halali kati ya Kenyatta na Odinga

Kenya: Wabunge watwangana makonde wakigombea nani Rais halali kati ya Kenyatta na Odinga

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598


1650191.jpg

File photos of Starehe MP Charles Njagua and Embakasi East's Babu Owino.

Legislators Charles Njagua and Babu Owino fought at Parliament's media centre on Tuesday, forcing watchmen to intervene.

It is not clear why the Starehe and Embakasi East MPs resorted to blows but journalists at the centre said Njagua followed Babu after he walked in.

They said he had been chatting with them when his counterpart grabbed him from the back and started pulling him while yelling.

It was then that a confrontation ensued.

Njagua is popularly known as musician Jaguar while Babu is former UoN student union leader.

"We heard Jaguar shouting 'you cannot do that to the President. He is not a caretaker President'," one of the journalists said.


The two newly elected MPs are being held in the chambers.

The Embakasi East MP angered Kenyans after apparently referring to President Uhuru Kenyatta as mtoto wa mbwa.

He was charged with subversion, insulting Uhuru and incitement to violence.

He spent two nights in police cells and was eventually released on Sh200,000 cash bail.



Source: Star coke
 
Mbunge Jimbo la Embakasi Mashariki Babu Owino na Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Kanyi Njagua maarufu kwa jina la Jaguar, ambaye pia ni Mwanamuziki wametwangana makonde mchana wa leo bungeni wakigombana kuhusu nani Rais halali wa Kenya. Kati ya Uhuru Kenyatta na Raila Odinga.
 
Baada ya kutokea nchini Uganda niliamini kuwa Kenya au Tanzania huenda ikafuatia. Hata kama si mwaka huu.
 
Wakitoka +254 inakuja +255 then +250[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wimbi la wabunge kuzusha vurugu na hata kutupiana makonde limeendelea kutamalaki kwa majirani zetu ambapo wabunge wawili nchini Kenya Babu Owino na Charles Njagua maarufu
 
Wimbi la wabunge kuzusha vurugu na hata kutupiana makonde limeendelea kutamalaki kwa majirani zetu ambapo wabunge wawili nchini Kenya Babu Owino na Charles Njagua maarufu

Ndo shida ya kuwa na Wazungu waliopita kwa hisani ya serikali Jaguar mmoja wapo. Analipa hisani!
 
[emoji1] [emoji1] ndio kuna cha kujifunza hapo? Utoto utoto tu.
 
Hehehehe!! Aki ya nani Nairobi tuliingia choo cha kike, viongozi wote full vituko kuanzia kwa Sonko, Babu na huyu Jaguar.
Kabla miaka tano iishe tutaona mengi, ila nakumbuka hata Kidero alianza kwa kuzaba wanawake makofi.
 
Hehehehe!! Aki ya nani Nairobi tuliingia choo cha kike, viongozi wote full vituko kuanzia kwa Sonko, Babu na huyu Jaguar.
Kabla miaka tano iishe tutaona mengi, ila nakumbuka hata Kidero alianza kwa kuzaba wanawake makofi.
Nasubiri XYZ sketch ya hizi ngumi [emoji23]
 
Babu owino Mr tibim bado ni adolescent wakati huo Jaguar analipa fadhila maana nae ni kifaranga cha computer
 
Naskia Babu Owino alimwambia Njagua ajiangalie kwa kiooo, eti bado hajavuka boda hata one centimetre! Hata ingekuwa mimi nimeambiwa hivo lazima huyo babu ningemparamia tu!
 
Aisee, kwenye hali halisia hio Jana mzee wa mitusi alimtwanga jaguar kama brukenge mazee, hadi mtaani wameanza kumuita (Maywwather Babu Owino Bobby wine Ongili)[emoji202] kwa kichapo hicho ntaanza futa nyimbo zake kwenye simu yangu.[emoji16]
FB_IMG_1507691204583.jpg
 
Back
Top Bottom