johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yale mambo aliyofanyiwa Lowassa wa Chadema mwaka 2015 ndio sasa anafanyiwa Raila Odinga kwenye kampeni za uchaguzi mkuu nchini Kenya.
Nawasihi sana Wakenya siyo lazima waige kila kitu Tanzania
Maendeleo hayana vyama!
Nawasihi sana Wakenya siyo lazima waige kila kitu Tanzania
Maendeleo hayana vyama!