J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 17, 2022 #1 Yale mambo aliyofanyiwa Lowassa wa Chadema mwaka 2015 ndio sasa anafanyiwa Raila Odinga kwenye kampeni za uchaguzi mkuu nchini Kenya. Nawasihi sana Wakenya siyo lazima waige kila kitu Tanzania Maendeleo hayana vyama!
Yale mambo aliyofanyiwa Lowassa wa Chadema mwaka 2015 ndio sasa anafanyiwa Raila Odinga kwenye kampeni za uchaguzi mkuu nchini Kenya. Nawasihi sana Wakenya siyo lazima waige kila kitu Tanzania Maendeleo hayana vyama!