joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kitendo Cha rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi wa mkutano wa chama Cha Upinzani za CHADEMA na kushangiliwa na wanachama hao, ni funzo kwa wanasiasa wa Kenya ambao kwao ni siasa za mivutano, kutukanana na kupigana.
Tunawaomba wakenya muige siasa za kistaarabu, msifanye siasa za uhasama na kuchukiana. Tafadhalini mje kujifinza toka Tanzania.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app