mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Wewe ume google ndani ya dakika moja umepata hiyo taharifa, unahisi hao ambao wako kwenye hiyo business hawajui kuwa Kenya hiyo kitu hipo! Wamekuja Tz kwasababu kuna namna ambavyo Tz inafanya vizuri zaidi. Postal bank yenu last week walikuja Tz kujifunza, kwa akili yako utabisha kwa kuwa Kenya pia kuna banks kwa hiyo hawapaswi kuja Tz!Uwe unatulia na kusoma taarifa kwanza na kuzielewa kabla ya kuingiwa na mihemko ya kuzileta humu, nimejifunza msamiati mpya kujifumza, nilifikiria umekosea kwenye title, lakini baada ya wewe kulirudia nikaona kumbe hilo neno unalo kwenye kamusi yako.
Anyway, hao Wakenya naona kama wametaka kuharibu hela yao bure maana mfumo wa kutumia kinyesi cha binadamu kutengeneza nishati tayari upo Kenya na unatumika kwenye mitaa kadhaa.
Na pia uchakatwaji wa maji taka ni jambo la kawaida sana huku Water purification machine stirs town : The Standard
Wewe ume google ndani ya dakika moja umepata hiyo taharifa, unahisi hao ambao wako kwenye hiyo business hawajui kuwa Kenya hiyo kitu hipo! Wamekuja Tz kwasababu kuna namna ambavyo Tz inafanya vizuri zaidi. Postal bank yenu last week walikuja Tz kujifunza, kwa akili yako utabisha kwa kuwa Kenya pia kuna banks kwa hiyo hawapaswi kuja Tz!View attachment 1014818
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wenu wa utalii Hon Balala na yeye alikuja na timu yake kujifunza Tanzania. Itabidi siku nyingine wasiwe wanakuja Tz wawe wanakuja kwako uwafundishe kutumia google.Duh! Kweli Post bank wameisha kama wameshuka hadi kiwango cha kuja huko kujifunza, nawatakia kila la heri maana hawa post bank ndiko nilianzia akaunti yangu ya kwanza nikiwa dogo kitaa.