mgunda1990 Member Joined Jul 19, 2012 Posts 73 Reaction score 4 Sep 24, 2012 #1 hatimae wenze2 kenya baada ya mgomo wa walimu 3wks mfululizo malalamiko yao yatatuliwa,madai yao ilikua nkutaka nyongeza had kufkia 300%na serikal imeafik,tz hata hiyo 100 imeshndikana...bora 2hamie kenya..source bbc swahili
hatimae wenze2 kenya baada ya mgomo wa walimu 3wks mfululizo malalamiko yao yatatuliwa,madai yao ilikua nkutaka nyongeza had kufkia 300%na serikal imeafik,tz hata hiyo 100 imeshndikana...bora 2hamie kenya..source bbc swahili