Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wasichana waliowahi kwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia wakitokea Kenya wamesema wanakuwa watumwa na hunyimwa haki zao za msingi za binaadamu.
Imesemekana kwamba wanachokifahamu madalali na mawakala wa kutafuta watu wa kwenda kufanya kazi huwa wanakuwa wanawauza watu hao kwa kuwaambia kuwa wanaenda kuajiriwa kitu ambacho huwasababishia manyanyaso.
Watu hao ambao wamefanya mahojiano NTV Kenya katika kipindi cha Gumzo la Sato ambapo wameshauri wasichana wenzao wabaki Kenya na kufanya biashara kuliko kwenda kuwa watumwa Saudi Arabia.