Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hao wameshalipwa hawataki wenzao wakafaidi.Ni wafanyakazi za ndani wote kutoka Africa...
Bila kusahau wahindi nao ni watumwa kule Saudia Arabia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waarabu, Wahindi, Wahispania, Wajerumani, Waingereza, Waafrika kusini na Wamarekani weusi, ni wabaguzi wa rangi kuliko hata ushetani.
Nikibahatika kuingia mbinguni nikakutana na aina za hivyo viumbe lazima nikate rufaa kurudi duniani haki ya nani maana nitakuwa nimeingia choo cha kike.
Na ujeuri unachangia sometimesWaarabu, Wahindi, Wahispania, Wajerumani, Waingereza, Waafrika kusini na Wamarekani weusi, ni wabaguzi wa rangi kuliko hata ushetani.
Nikibahatika kuingia mbinguni nikakutana na aina za hivyo viumbe lazima nikate rufaa kurudi duniani haki ya nani maana nitakuwa nimeingia choo cha kike.
Bila kuwa jeuri kwa wafanyi kazi wa ndani ya nyumba kule Middle East basi utarudi mifupa mitupu kwenyu! Heshima ndio muhimu lakini usiwahi hata siku moja kuonyesha unyonge kwa mwarabu. Atakutumia vibaya hadi shetani akuhurumie aisee! 🤣Na ujeuri unachangia sometimes
Wakenya ni jeuri sana ile kasumba ya kusema kila kitu chao huwenda iliwaboa wenyeji
walikuwa hawazijui roho za waarabu? huwa nashangaa hata hapa tz kuna watu wanawahusudu. wana roho mbaya kinyama. kuna clip niliona mama wa kiarabu anamrusha housegirl wa africa toka gorofani, kuna mambo ya ajabu sana, wanabakwa wanalawitiwa n.k.Wasichana waliowahi kwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia wakitokea Kenya wamesema wanakuwa watumwa na hunyimwa haki zao za msingi za binaadamu.
Imesemekana kwamba wanachokifahamu madalali na mawakala wa kutafuta watu wa kwenda kufanya kazi huwa wanakuwa wanawauza watu hao kwa kuwaambia kuwa wanaenda kuajiriwa kitu ambacho huwasababishia manyanyaso.
Watu hao ambao wamefanya mahojiano NTV Kenya katika kipindi cha Gumzo la Sato ambapo wameshauri wasichana wenzao wabaki Kenya na kufanya biashara kuliko kwenda kuwa watumwa Saudi Arabia.