Sisi mrisho mpoto alikua huko anamuita samia daktari wa uchumi pamoja na sifa nyingine wanazotajaga mbele ya top manyota wa viongozi pamoja na wastaafu na ma professorBut compare their ambitions and ours
Akikujibu nitagBut compare their ambitions and ours
Angalia malengo yao, having data center ya microsoft ni uwekezaji mkubwa. Atleats wamejaribu. Tz imefanya nn?Ruto anasema kimbelembele chao kilimpeleka mambele kuingia deal na Microsoft na G42 ili waanzishe Data Centers Kenya, lakini wakaambiwa kuwa data center moja inahitaji MW 1,000, wakati nchi nzima ina MW 2,300!
Akitiania kuwa, “Inabidi tuzime karibu nusu ya nchi ili tuweze kupata hiyo moja tu!”
Wapi Kenya wa kusema, “Mmetuacha mbali sana!” wakati tuko palepale tu majirani?. Kimbelembele kikamuisha Ruto, shwaaa! 😂😂

Wakati nchi yako inapambana na Rais wake wasiseme mawazo yao, unadhani ni lini tutafika hata hatua ya kuwaza hivyoAmbitions ambazo haziko kwenye action ni ndoto tu, hamna kitu hapo!
Kwani sisi hatuna ayo shida ya wabongo kupenda ku prise wageni tu hata kama ni burundi mradi sio bongo,Angalia malengo yao, having data center ya microsoft ni uwekezaji mkubwa. Atleats wamejaribu. Tz imefanya nn?
Haya ma data cwntwrs kwenye umeme ni noma si Kenya tu, hata US kuna sehemu wanapata changamoto hizohizo.Ruto anasema kimbelembele chao kilimpeleka mambele kuingia deal na Microsoft na G42 ili waanzishe Data Centers Kenya, lakini wakaambiwa kuwa data center moja inahitaji MW 1,000, wakati nchi nzima ina MW 2,300!
Akitiania kuwa, “Inabidi tuzime karibu nusu ya nchi ili tuweze kupata hiyo moja tu!”
Wapi Kenya wa kusema, “Mmetuacha mbali sana!” wakati tuko palepale tu majirani?. Kimbelembele kikamuisha Ruto, shwaaa! 😂😂
Tuelimishane kwanzaData center ina kazi gani na faida gani?
Ok Asante kwa ufafanuziData centre ni sehemu ya kuhifadhia na kuchakata data kwa ufupi ,sehmu hiyo inahitaji umeme 24/7 bila kukata na inahitaji backup kubwa incase umeme ukikatika ,Tambua kampuni zote lazima ziwe na Data center(Unaweza ukaita sehemu ambazo servers zinakaa -kuhifadhi taarifa).