Kenya wameanza na mkataba wa SGR kuwekwa wazi, vipi sisi? Wabunge wanaweza?

Kenya wameanza na mkataba wa SGR kuwekwa wazi, vipi sisi? Wabunge wanaweza?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Serikali mpya ya Kenya chini ya waiziri wa Uchukuzi ili ahisi kuwrka wazi kwa umma mkataba wa ujenzi wa reli ya SGR kati ya China na Kenya ili raia wajue kikichopo ndani ya mkataba huo.

Na jana kweli mkataba umegawiwa kwa shombo vya habari, na Viongozi wa bunge ili waanzishe mjadala bungeni.

Hii ni kutokana na fununua kwamba Bandari ya Mombasa ilitumika kama dhamana ya huo mkopo na kwamba endapo hawatalipwa basi watawe bandari ya Mombasa.

Tanzania tuna mikataba chungu nzima ila cha aibu si bunge wala raia wa kawaida wenye uwezo wa kuona hio mikataba na mara zote tumekuwa tunaamvia ni siri.

Ila kwemye kulipa mkopo hakuna usuri make ni kodi zetu zinaenda kulipa hio mikopo.

Juzi kati Mama kasaini mikataba 15 nini kiko ndani yake? China anafaidika vipi na Tanzania anafaifkika vipi? Nini kikatatokea rnfapo mkataba hautafuatwa?

Wabunge huwa wanajaribu mara zote kutaka mikataba ipelekwe bungeni lakini haijawahi tokea kamwe.

Kuweka wazi mkataba wa SGR kunaweza ibua balaaa huko kenya lakini hakuna namna bora raia wajue nini kiko ndani ya huo mkataba.

Sisi tunalipishwa madeni ambayo mengine talikopwa kwa siri sana.

Hii chini ya CCM haiwezi tokea milele,

Screenshot_20221107_090750_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20221106_185509_com.facebook.katana.jpg
 
Serikali yetu haiwezi fanya hivyo maana unaweza kuta mkataba una hela pungufu dhidi ya kisemwacho
 
Serikali yetu haiwezi fanya hivyo maana unaweza kuta mkataba una hela pungufu dhidi ya kisemwacho
Kwa hio tupige kimya wale tu? Vipi watoto wetu na wajukuu wrtu wataishi vipi? Kama.sisi tumeamua kuwaachia
 
Back
Top Bottom