Nilipanda uko Serengeti. Gari moja mnaingia watu zaidi ya 7 na bado mizigo. Njia ya Ifakara zamani wakati vumbi piaChuma Hicho Probox Niliikuta Serengeti Kwenda Tarime Barabara Ya Vumbi Inateleza Kama Kambale
Miaka Nyuma Huko Kasulu Kwenda Manyovu
Monyovu Kwenda Kigoma Wakati Huo Vumbi Tele
With low safety indexIla Toyota aisee ni noma Sana hii gari inapiga kazi za kibabe mno Huko barabara za vumbi
Nouma sana MARA zipo nyingi sana..Chuma Hicho Probox Niliikuta Serengeti Kwenda Tarime Barabara Ya Vumbi Inateleza Kama Kambale
Miaka Nyuma Huko Kasulu Kwenda Manyovu
Monyovu Kwenda Kigoma Wakati Huo Vumbi Tele
Minimum abiria 7 na Dereva 8 hapo kama kwenye buti hajaweka abiria.Nouma sana MARA zipo nyingi sana..
Ruti ya tarime to nyamongo na rorya ngoma ndio hiZo zinakmbiza balaa
Nilipanda kutoka tarime kwenda shirati aisee ni mbele tulikuwa wanne, kati wanne kwenye buti wanne pamoja na mizigo full hadi kwenye carrier..Minimum abiria 7 na Dereva 8 hapo kama kwenye buti hajaweka abiria.