KIMIYAKIMIYA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 244
- 321
Unaongea kiurahisi rahisi sana eti kuzuia deficit?!kwaiyo unataka kuniambia serikali haina mpango wowote wa distribution ya nafaka hapa nchini? kwa sababu km ni kujiridhisha ilibidi wapate takwimu kutoka kwa wizara au wakala/kitengo kinachohusika na uratibu wa uzalishaji na usambazahi wa nafaka. Ni lazima tuelewe kuwa wakulima especially wa mahindi wameumizwa sana na zuio la kuuza nje, sijawahi kusikia waziri au mkuu wa nchi akilazimisha mbolea na pembejeo zingine kushuka, hivyo basi ni halali kabisa biashara hiyo kuwa huria coz huwezi kuzuia upande mmoja au mwingine unauacha free, otherwise utendaji ubakie kuwa utendaji na siasa ziwe siasa vinginevyo kuna watu wanaumizwa na matamko ya kisiasasuala LA chakula liko sensitive sana, serikali ilizuia uuzaji wa mahindi nje ili kuepuka kutengeneza deficit ambayo ingepelekea kupanda kwa mahindi kusiko kawaida, baada ya kujiridhisha ndio imetoa kibali cha kuuza nje.
Hata Kenya wakisusia mahindi toka Tanzania bado kuna nchi nyingi zenye uhitaji, waacheni wafanye yao ni dhahiri kwa sasa uhusiano wa Tz na Kenya si mzuri.
waacheni wafe na njaa na siasa zao eti wanawawezesha wakulima wao.
Tungechukulia suala la uzalishaji nafaka km advantage na kuweka nguvu nyingi katka kutafuta masoko ingesaidia zaidi kuliko kuweka zuio, au serikali inapoweka zuio ihakikishe inanunua izo nafaka kwa bei ambayo ni above costs za uzalishaji, otherwise ni kuwaumiza wakulimasuala LA chakula liko sensitive sana, serikali ilizuia uuzaji wa mahindi nje ili kuepuka kutengeneza deficit ambayo ingepelekea kupanda kwa mahindi kusiko kawaida, baada ya kujiridhisha ndio imetoa kibali cha kuuza nje.
Hata Kenya wakisusia mahindi toka Tanzania bado kuna nchi nyingi zenye uhitaji, waacheni wafanye yao ni dhahiri kwa sasa uhusiano wa Tz na Kenya si mzuri.
waacheni wafe na njaa na siasa zao eti wanawawezesha wakulima wao.