Kenya wameweza, sisi lini?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Pichani rais Uhuru wa Kenya akishuhudia safari ya kwanza ya ndege yao kuubwa ya Kenya Air ways ikianza safari za moja kwa moja kwenda Marekani.nauliza tu sisi mbona kimya sana?au dege la kwetu haliwezi kufika Marekani?nashauri tusikubali kupitwa na Kenya.
 
Sisi maneno mengi kuliko vitendo
Kwasasa Kenya kwenye Ndege wametuzid, wao wapo kwenye gemu muda mrefu japo uwa kunakipindi wanatangaza kupata hasara ila shirika lao linaendelea vizur. Sisi shirika la Ndege likitangaza hasara baadhi ya watu kwenye mitandao wanafikir ndio kiboko cha kuichapa serikali. Kwasasa Kenya wanatambua Tanzania chini ya JPM inawafuata kwa kasi katika maeneo mengi waliyo tuzid.Shirika letu la Ndege litafanya vizuri ni swala la muda tu.
 
Sisi bado tunadili kama mandege makubwa hivyo yana umuhimu kwa mwananchi wa hali ya chini.
 
Kamwe hatuwezi kuifikia Kenya hizo ni ndoto za alinacha
 
Mtaishia kuwasifia kina musiba na Hapi tu
 
Kamwe hatuwezi kuifikia Kenya hizo ni ndoto za alinacha
Kama tunapata marais wenye Utashi wa kutaka kuitoa Tanzania hapa tulipo kama JPM, tunaweza kuwafikia na kuwazidi kenya. Kwanza ATC inatakiwa ianze kutamba hapa nyumbani na kwasasa tayari msuliwao unaonekana kama huamin waulize Fast Jet na Precition watakujibu.

Inachotakiwa waongeze juhudi apa ndani wakiweza kufika mikoa mingi zaidi ndio waongeze njia nje ya Tanzania najua kwasasa ATC wanakwenda Burundi na Commoro najua wanavuta kasi.
 
Umenena vyema...yaani kwa issue ya maendeleo sisi na Kenya utofauti japo bado ni mkubwa lakini ukiangalia kwa umakini sana viashiria muhimu vya uchumi hatuna muda mrefu kula nao sahani moja
 
Kwa Tanzania tutasubiri sana lazima tukubali kuwa Kenya wametuwacha mbali sana
 
Hilo fisadi n jizi halijui lolote
 
Ni ndoto hizo kwani hakuna mnacho kufanya ambacho kenya haijafanya yaani nyinyi bado sana
Umenena vyema...yaani kwa issue ya maendeleo sisi na Kenya utofauti japo bado ni mkubwa lakini ukiangalia kwa umakini sana viashiria muhimu vya uchumi hatuna muda mrefu kula nao sahani moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…