Wewe upo kibaruaniCcm inatupeleka kubaya
Pichani rais Uhuru wa Kenya akishuhudia safari ya kwanza ya ndege yao kuubwa ya Kenya Air ways ikianza safari za moja kwa moja kwenda Marekani.nauliza tu sisi mbona kimya sana?au dege la kwetu haliwezi kufika Marekani?nashauri tusikubali kupitwa na Kenya.View attachment 914668View attachment 914669
Kama Nako Ni TanzaniaSoon bombardier itakuwa inafanya direct flights to Chato international airport kutoka JKN kila siku.
Zuwenna i havent seen your congratulationsNyie Hambebeki
zikinunuliwa ndege kelele
leo mnashabikia vyajirani
There are many ways to success, yours isn't the only one.Mnafaa kutangaza brand yenyu dunia mzima kama airlines zingine. Hii mambo ya kujitawala haitawasaidia. Badala ya kusafiri hadi Kigali, fikeni Hub kubwa kubwa kama NBO,Mombasa au Addis. Kq inafika Miji yote kenya na hapa EAC including dar. That is the 1st step to prosperity. Hamuwezi kimbilia Mumbai yet your impact is zero in the region.
For 20 years mme-tuta 😅☝tuta,tuki, [emoji23] [emoji23]
Rest be assured by next year u will be still minting losses! U don't have muscles to compete with the likes of ET n Turkish Airlines, Emirates, Qatar Airways or even KLM. U can't convince someone to dump those four for KQ.[emoji122][emoji122][emoji122] Haters make kenya famous. Walisema it is a loss making airline, now see where they are! Wako chini tuko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ningekubaliana na wewe kama suala la eleimu lingewekewa mkazo. Lakini kwa style ya kuanza kuziingilia shule binafsi, tusahau kuwafikia wakenyaKwasasa Kenya kwenye Ndege wametuzid, wao wapo kwenye gemu muda mrefu japo uwa kunakipindi wanatangaza kupata hasara ila shirika lao linaendelea vizur. Sisi shirika la Ndege likitangaza hasara baadhi ya watu kwenye mitandao wanafikir ndio kiboko cha kuichapa serikali. Kwasasa Kenya wanatambua Tanzania chini ya JPM inawafuata kwa kasi katika maeneo mengi waliyo tuzid.Shirika letu la Ndege litafanya vizuri ni swala la muda tu.
Which KQ? Do u have runways? 😅 The one I know that mints losses like no one business has around 5 destinations within Kenya! Tena via Jambojet!Mnafaa kutangaza brand yenyu dunia mzima kama airlines zingine. Hii mambo ya kujitawala haitawasaidia. Badala ya kusafiri hadi Kigali, fikeni Hub kubwa kubwa kama NBO,Mombasa au Addis. Kq inafika Miji yote kenya na hapa EAC including dar. That is the 1st step to prosperity. Hamuwezi kimbilia Mumbai yet your impact is zero in the region.
expect atcl to take 40 years thenFor 20 years mme-tuta [emoji28][emoji121]
Rest be assured by next year u will be still minting losses! U don't have muscles to compete with the likes of ET n Turkish Airlines, Emirates, Qatar Airways or even KLM. U can't convince someone to dump those four for KQ.
Elimu yetu apa kati ilivurugika, ila jitihada zinaonekana kufanyika. Ita tuchukua muda kurudi katika njia . Kama tutapata mwendelezo wa viongozi aina ya JPM tutairudisha Elimu katika Ubora. Matajiri wenye mashule walikua wanajifanyia wanavyotaka, Serikali inajalibu kubalansi mzani.Ningekubaliana na wewe kama suala la eleimu lingewekewa mkazo. Lakini kwa style ya kuanza kuziingilia shule binafsi, tusahau kuwafikia wakenya
Elimu yetu apa kati ilivurugika, ila jitihada zinaonekana kufanyika. Ita tuchukua muda kurudi katika njia . Kama tutapata mwendelezo wa viongozi aina ya JPM tutairudisha Elimu katika Ubora. Matajiri wenye mashule walikua wanajifanyia wanavyotaka, Serikali inajalibu kubalansi mzani.
Somebody tag me a vedio of KQ theme song, I love that song