Kenya wameweza, sisi lini?

Kenya wanatuzi kila nyanja ya kimaendeleo na hata kisiasa
Kweli kabisa Mkuu.
Hii ni kwasababu hakuna uminywaji wa Demokrasia Kenya..
Demokrasia ikishahakuwepo mahali popote..MAENDELEO lazima yatapatikana tu..
Tanzania kwa sasa ni ni mwendo wa Kutekana na Kupiga risasi wapinzani.
 
So how would you explain why the tremendous growth of the Chinese economy in just a few yrs
 
Watalii wameongezeka si kwa kigezo cha kuwa na ndege watalii wameongezeka kutokana na promo imekuwa mzuri
Sasa hao watalii watafikaje sehemu za kutalii kwa haraka kama hakuna ndege?
 
Kweli kabisa Mkuu.
Hii ni kwasababu hakuna uminywaji wa Demokrasia Kenya..
Demokrasia ikishahakuwepo mahali popote..MAENDELEO lazima yatapatikana tu..
Tanzania kwa sasa ni ni mwendo wa Kutekana na Kupiga risasi wapinzani.

kwahiyo kwa mtazamo wako wakenya hawauwani kisiasa na wanasiasa wao wako huru kufanya chochote wanachotaka mtani? Hii ni nchi iliyotoa rais aliyekuwa madarakani kushitakiwa kwa mauwaji ya halaiki kwenye mahakama ya kimataifa huku mashahidi wakipotea usiku na mchana kuficha ukweli.
 
What ever the case
 
Kwa maoni yangu ni kuwa Dreamliner ya ATCL yaweza kupata nafasi kubwa ya kuwasafirisha abiria from any point in Africa to JKIA yani connecting flights ambazo ni muhimu sana kwa ukuaji wa sekta ya anga nchini Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…